Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi |
Sunday, January 13, 2013
Tuesday, November 13, 2012
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA ASHA-ROSE MIGIRO
Rais Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Asha Rose Migiro alipofanya ziara mkoani Kilimanjaro Octoba,2012. |
Monday, November 12, 2012
MKUU WA MKOA AKIPANDA MTI BAADA YA UFUNGUZI
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe.Leonidas Gama akipanda mti wa kumbukumbu baada ya ufunguzi wa ofisi ya CAG mkoani Kilimanjaro. |
UFUNGUZI WA OFISI MPYA YA CAG MKOANI KILIMANJARO
Tuesday, October 16, 2012
MAAFISA TEHAMA WA MIKOA NA HALMASHAURI WAKIWA DARASANI WAKATI WA MAFUNZO YA MFUMO WA HCMIS(LAWSON)
MAAFISA TEHAMA WA MIKOA NA HALMASHAURI WAPEWA MAFUNZO JUU YA MFUMO WA HCMIS (LAWSON)
Wednesday, October 10, 2012
VIONGOZI MBALIMBALI WAKIFUATILIA KWA UMAKINI TUKIO ZIMA
Viongozi wa serikali ya Mkoa wa Kilimanjaro,Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe. Samwel Sitta na watumishi mbalimbali waliokuwepo katika ukumbi wa mkuu wa Mkoa wakifuatilia kwa makini tukio hilo la kihistoria katika mkoa wa Kilimanjaro. |
WAKIBADILISHANA MAJALADA MARA BAADA YA KUSAINI
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (Kulia) Dkt.Faisal H.H.Issa akibadilishana majalada na mwakilishi wa TIB mara baada ya kusaini 'memorandum of understanding' ya ujenzi wa soko.(Picha na Shabani Pazi) |
SERIKALI YA MKOA WA KILIMANJARO YALETA MATUMAINI MAPYA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (Kulia) Dkt.Faisal
H.H.Issa akiweka saini katika "MEMORANDUM OF UNDERSTANDING" kwa ajili
ya Ujenzi wa Soko la Kimataifa la Himo, kulia kwake ni Mwakilishi wa Benki ya
TIB Bwana Allan Magoma.Waliosimama ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (katikati),kulia kwake Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe. Samwel Sitta na Mkuu wa Wilaya ya Moshi
Mhe.Dkt Ibrahim Msengi wakishuhudia tukio hilo la kihistoria katika mkoa wa Kilimanjaro la tarehe 09/10/2012
|
Thursday, September 27, 2012
KARIBU RASKILIMANJARO
Karibu MKOA WA KILIMANJARO. Hii ni BLOG ya kiofisi Sekretarieti ya Mkoa wa Kilimanjaro. Katika blog hii utapata taarifa mbalimbali za shughuli zifanywazo na ofisi pamoja na taarifa za Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla.
Subscribe to:
Posts (Atom)