Monday, November 12, 2012

UFUNGUZI WA OFISI MPYA YA CAG MKOANI KILIMANJARO

Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Bw.Ludovic Utouh wakati wa ufunguzi wa Ofisi za CAG mkoani Kilimanjaro.Uzinduzi wa jengo hilo ni moja ya shughuli alizozifanya Mhe.Rais alipokuwa katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro