Tuesday, November 13, 2012

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA ASHA-ROSE MIGIRO

Rais Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Asha Rose Migiro alipofanya ziara mkoani Kilimanjaro Octoba,2012.

Monday, November 12, 2012

MKUU WA MKOA AKIPANDA MTI BAADA YA UFUNGUZI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe.Leonidas Gama akipanda mti wa kumbukumbu baada ya ufunguzi wa ofisi ya CAG mkoani Kilimanjaro.

MHE.RAIS AKIFUNGUA JENGO LA OFISI YA CAG MKOANI KILIMANJARO

Rais Jakaya Kikwete akizindua jengo la CAG mkoani Kilimanjaro.

UFUNGUZI WA OFISI MPYA YA CAG MKOANI KILIMANJARO

Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Bw.Ludovic Utouh wakati wa ufunguzi wa Ofisi za CAG mkoani Kilimanjaro.Uzinduzi wa jengo hilo ni moja ya shughuli alizozifanya Mhe.Rais alipokuwa katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro